KINYAUSI (MNYAUKO BACTERIA)
JE USHAWAHI ONA HII SHAMBANI KAMA NI NDIO, @kilimomatunda inatoa elimu kuhusu hili MNYAUKO BACTERIA (KINYAUSI) UTANGULIZI Ni ugonjwa ambao husababishwa na bacteria. Bacteria huyu hushambulia sana sana familia ya mazao aina solanaceae mfano nyanya na viazi mviringo.Huu ugonjwa huweza kupunguza mavuno kwa kiasi kikubwa sana kama mkulima hata kuwa makini jinsi ya kuidhibiti.Wataalamu wa @kilimomatunda leo wamekuandalia jinsi ya kuutambua na kuudhibiti. DALILI ZA KIPEKEEE Majani unyauka lakini ubaki na rangi ya kijani Ukikata kipande cha shina na kuweka ndani glass nyuepe yenye maji utaona ute ute unatoka kwa shina KUDHIBITI Tuna njia ambazo ni rahisi ambazo zenye matokeo chanya……kwa maelezo zaidi kuhusu hizi njia za kudhibiti ugunjwa huuu. KWA KUPIGA SIMU ILI KUPATA MAELEZO Kwa mtalaamu wetu 0769255000 KWA AJIRI YA PICHA AU VIDEO KWA ZAO HUSIKA KWA N...