KINYAUSI (MNYAUKO BACTERIA)
JE USHAWAHI ONA HII SHAMBANI
KAMA NI NDIO,
@kilimomatunda inatoa elimu kuhusu hili
MNYAUKO BACTERIA (KINYAUSI)
UTANGULIZI
Ni ugonjwa ambao husababishwa na bacteria.
Bacteria huyu hushambulia sana
sana familia ya mazao aina solanaceae mfano nyanya na viazi mviringo.Huu
ugonjwa huweza kupunguza mavuno kwa kiasi kikubwa sana kama mkulima hata kuwa
makini jinsi ya kuidhibiti.Wataalamu wa @kilimomatunda
leo wamekuandalia jinsi ya kuutambua na kuudhibiti.
DALILI ZA KIPEKEEE
- Majani unyauka lakini ubaki na rangi ya kijani
- Ukikata kipande cha shina na kuweka ndani glass nyuepe yenye maji utaona ute ute unatoka kwa shina
KUDHIBITI
Tuna njia ambazo ni rahisi ambazo
zenye matokeo chanya……kwa maelezo zaidi kuhusu hizi njia za kudhibiti ugunjwa
huuu.
KWA KUPIGA SIMU ILI KUPATA
MAELEZO
Kwa mtalaamu wetu 0769255000
KWA AJIRI YA PICHA AU VIDEO KWA
ZAO HUSIKA KWA NJIA WHATSAPP
Namba
0769255000
TUNAPOKEA CHANGAMOTO KATIKA ZAO
HUSIKA SEHEMU YOYOTE ILE.
KARIBU @KILIMOMATUNDA
TUNAPATIKANA CHIMALA-MBEYA
KILIMO NI CHETU SOTE
Comments
Post a Comment