UUZAJI WA MICHE
NI MICHE AMBAYO IMEFANYIWA GRAFTING YENYE UWEZO WA KUTOA MATUNDA MENGI KWA MDA MFUPI NA KATIKA VITALU VYETU TUNA MICHE ZAIDI YA KUMI NA MOJA AMBAYO NI:
- JAMII YA MICHUNGWA-chungwa,chenza,ndimu,limao,barungi,pomelo na daransi
- EMBE
- PARACHICHI
- PAPAI ZA MDA MFUPI
- PERA
- STAFELI
- TOPETOPE
- FENESI
- MIGOMBA
- ZAITUNI
- MNAZI
N:B......BEI YA MICHE YA MATUNDA INATOFAUTIANA
Kama unahitaji miche ya matunda sasa unaeza kuwasiliana nami hata uliopo mkoani mzigo
unafika ...Tupo Morogoro-MAENEO YA SUA. 0769255000
Habari za leo. Nipo Dar es salaam naitaji miche ya maembe ya kisasa 50, papai za kisasa na mapera. Nawezaje kuzipata na bei yake ipoje.
ReplyDelete