MOJAWAPO YA FAIDA YA KUPANDA MITI YA MATUNDA
Kiukweli ndungu yangu kilimo cha matunda kinafaida kubwa sana,haipiti siku kwa watu waliowengi wanakula matunda,kwa leo nimetoa baadhi ya faida ya miti ya matunda.
1.Ni chazo cha ajira
nchi nyingi zilizoendelea watu wake wamewekeza katika kilimo cha matunda na kuweza kuwapatia ajira ambayo imesaidia kuinua uchumi wa kifamilia.
2.Inaongeza virutubisho mwilini
kama upatikanaji wa vitamini A na C ambayo kazi yake nikituwezesha kuona vizuri. Na pia inasaidia upatikanaji wa madini ya kalsium na chuma ambayo inasaidia kuimarisha mifupa
3.Ni chazo cha pesa za kigeni
Matunda yana soko kubwa sana duniani kwa sababu huitajika kila siku kwa hiyo nchi zilizowekeza katika kilimo cha matunda znapata pesa za kigeni kwa kuhuza kwa nchi nyengne.
Comments
Post a Comment