JIFUNZE KUHUSU KILIMO CHA KISASA CHA MATUNDA
KILIMO CHA MATUNDA Kilimo ambacho kinakua kwa kasi sana kwa Tanzania na kwa Dunia kiujumla,Uhuhitaji wa matunda kwa matumizi ya nyumbani na kiwandani huongezeka mara dufu kadri siku zinavyoenda.Hichi kilimo kinahusisha miti ambayo huchukua miaka miwili hadi mitatu mpaka kufikia mavuno. Kilimo cha matunda kinaumuhimu mkubwa sana kama i. Kuongeza kipato endelevu kwa mkulima ii. kuongeza uhakika wa chakula iii. kupungua hewa ya ukaa, ...